Jeremiah 37:8-10

8 aKisha Wakaldayo watarudi na kushambulia mji huu, watauteka na kuuchoma moto.’

9 b“Hili ndilo Bwana asemalo: Msijidanganye wenyewe mkifikiri, ‘Hakika Wakaldayo watatuacha na kwenda zao.’ Hakika hawatawaacha! 10 cHata kama mngelishinda jeshi lote la Wakaldayo linalowashambulia ninyi, na wakawa ni watu waliojeruhiwa tu waliobaki kwenye mahema yao, wangetoka na kuuchoma mji huu moto.”

Copyright information for SwhNEN